MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
UKURASA WA 428; Mbadala…
Kama hukubaliani na kile ambacho unaambiwa au kushauriwa ufanye, basi tuambie au tuoneshe unafanya nini. Tatizo la wengi wanaopinga au kukosoa ni kwamba wakishafanya hivyo wanarudi kuendelea na maisha yao yale yale, hawafanyi jitihada zozote za kubadili maisha yako. Labda umesoma hapa kwamba unahitaji kuweka juhudi zaidi kwenye kazi yako,