BIASHARA LEO: Neno Ambalo Ni Marufuku Kumwambia Mteja.

By | March 7, 2016
Wewe kama mfanyabiashara makini, hitaji la kwanza kabisa ni kuijua vizuri biashara yako, nje ndani. Ni lazima wewe uwe mtaalamu wa biashara yako, kwa kizungu tunasema uwe expert kwenye hiyo biashara unayofanya. Kwa maana hiyo unahitaji kujua mengi kuhusu biashara yako na wakati huo huo unahitaji kuwa wazi kujifunza kuhusu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In