UKURASA WA 433; Hamasa Ni Nzuri Lakini…

By | March 8, 2016
Lakini siyo mpango. Hamasa ni nzuri sana, inaweza kukuondoa kwenye hali ya kukata tamaa na ukarudi kwenye mapambano ya kukamilisha ndoto zako. Lakini hamasa siyo mpango, licha ya kuwa na hamasa, unahitaji kuwa na mpango mzuri, mpango bora ambayo utakufikisha kule unakotaka kufika. Wengi husahau hili na kuangalia hamasa pekee.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In