UKURASA WA 447; Pamoja Na Hofu Zote….

By | March 22, 2016
Pamoja na hofu zote ulizokuwa nazo siku za nyuma kuhusu siku za sasa, nyingi hazijatokea. Na hata kama zimetokea mambo hayakuwa mabaya kama ulivyokuwa unafikiria. Nina hakika na hili kwa sababu bado upo na bado unaendelea kuyafanya maisha yako kuwa bora zaidi. Umekuwa ukihofia ya kwamba mambo yatakwenda vibaya, na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz