UKURASA WA 469; Rudia Tena…

By | April 13, 2016
Tunataka mambo mazuri lakini hatupeni kusubiri, na wala hatuna uvumilivu. Lakini kama ambavyo wote tunajua, mambo mazuri siyo rahisi na hayapatikani kirahisi. Unakuwa bora kwa kurudia tena na tena na tena kile ambacho unataka kuwa bora. Hata kama umekutana na changamoto kiasi gani, hata kama umekwama kiasi gani, unahitaji kurudia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In