UCHAMBUZI WA KITABU; FAIL FORWARD (Hatua 15 Za Kufikia Mafanikio Kupitia Kushindwa).

By | May 25, 2016
Ni rahisi sana kuona watu waliofanikiwa na kusema na wewe unataka ufanikiwe kama wao. Lakini unapoianza safari ya mafanikio ndipo unapogundua kuna mengi hukuyajua. Kuna mengi sana ambayo utayashindwa kwenye safari yako hiyo na kama utakuwa hujajiandaa vizuri hutafika mbali. Watu waliofanikiwa hawakufika walipo kwa mara moja tu, bali wamevuka

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In