UKURASA WA 510; Ni Asilimia Moja (1%)

By | May 26, 2016
Watu wengi wamekuwa wakifikiri kwamba ili waweze kubadili maisha yao basi wanahitaji kufanya mapinduzi makubwa sana ndani ya muda mfupi. Wanakuwa wanawaangalia wale ambao wameshapiga hatua na kuona kwamba wakiweza kupiga hatua moja pekee watakuwa mbali sana. Lakini hivi sivyo mambo yanavyokwenda, hakuna mtu anayeweza kufanya mabadiliko makubwa ndani ya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In