UKURASA WA 509; Kitu Kimoja Ambacho Walioshindwa Wote Wanacho….

By | May 25, 2016
Kwenye tafiti za kisayansi, kama kwenye kila tukio kuna kitu fulani, basi kitu hiko ndiyo kinachangia kutokea kwa tukio hilo. Kwa mfano kama imetokea kwenye eneo fulani watu wameanza kuharisha ghafla, na kila anayeharisha akipimwa anaonekana kuwa na vijidudu vya aina fulani, basi kuna uwezekano mkubwa vijidudu vile ndiyo vimepelekea

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In