UKURASA WA 515; Bure…

By | May 31, 2016
Neno bure ni njia rahisi ya kuwapata watu kulipa gharama kubwa. Ni neno ambalo linaweza kuwashawishi watu kuchukua hatua ambazo siyo bora kwao. Kwa sababu watu wengi wanapenda njia rahisi. Kitu chochote unachoambiwa unapewa bure, chunguza kwa makini, kuna gharama kubwa utakazoingia kwa kukubaliana na kitu hiko. Huenda ikawa ubora

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz