UKURASA WA 518; Je unauzika?

By | June 3, 2016
Kabla watu hawajanunua kile unachouza, wanakununua wewe kwanza. Kabla watu hawajakubali kile unachowaambia, lazima wakukubali wewe kwanza. Kwa asili binadamu tunapenda kuhusiana na wale ambao tunawajua vizuri, na tunajua wanaendana na sisi. Watu ambao wanaonekana ni wageni kwetu wanatupa wasiwasi. Hatuna hakika kama wanajali maslahi yetu au wanataka kututapeli. Hivyo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In