UKURASA WA 519; Barabara Lazima Zifagiliwe…

By | June 4, 2016
Tunapozungumzia mafanikio, wapo wengi ambao huwa wanafikiri kwamba watafanikiwa kama watafanya kazi fulani ambazo kwa nje zinaonesha mafanikio. Labda kama akiwa daktari au rubani au injinia ndiyo ataweza kufanikiwa. Huu sio ukweli, mafanikio tunayozungumzia hayatoki nje yako, bali yanaanzia ndani yako. Mafanikio yako yanaanza na kile ambacho unakifanya sasa, pale

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In