UKURASA WA 531; Watu Wanaokera…

By | June 16, 2016
Kuna watu ambao wametuzunguka, kwenye kazi zetu, biashara zetu na hata maisha yetu ya kawaida ambao huwa wanakera. Yaani watu hawa unatamani hata wasingekuwa karibu na wewe kwa sababu kila kitu wanachofanya wanakukera sana. Wengine wanaweza hata kukuharibia siku yako na kukupotezea muda wako kutokana na mambo ambayo wanayafanya. Watu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In