UKURASA WA 532; Mambo Yanapokwenda Mrama…

By | June 17, 2016
Katika maisha yetu kuna maamuzi ambayo huwa tunafanya na tunakuwa tumekosea, kwa kukosea maamuzi hayo tunapata matokeo mabaya, yaani mambo yanakwenda vibaya. Sasa hapa ndipo penye hatari kubwa sana. Hapa kuna hatari kubwa kwa sababu mambo yanapoanza kuharibika, huwa tunakaza na kuchukua hatua haraka sana, na kwa bahati mbaya sana

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In