UKURASA WA 538; Biashara Tayari Unayo…

By | June 23, 2016
Kama bado hujaingia kwenye biashara na kama bado hujajua ni biashara ipi bora kwako kufanya, au kama umekuwa unafikiria kukuza biashara yako na kuanzisha biashara nyingine, huwa unafikiria mambo makubwa sana kabla ya kuingia kwenye biashara hiyo. Tunafikiria mambo makubwa tukiamini kupata wazo bora la biashara inabidi tutumie nguvu kubwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In