UKURASA WA 539; Acha Kujificha…

By | June 24, 2016
Moja ya vitu ambavyo vinawazuia watu kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yao ni kujificha. Watu wanakuwa na hamasa kubwa sana ya kufikia mafanikio, lakini wanapopiga hatua kidogo wanapata sehemu ya kujificha, na wao wanajificha. Mtu anakuwa na mipango mizuri ya kibiashara, anaingia kwenye biashara hiyo na mwanzoni anaweza kutengeneza faida

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In