UKURASA WA 541; Njia Bora Ya Kuwa Mwaminifu…

By | June 26, 2016
Kama umekuwa msomaji wa makala hizi za KURASA ZA MAISHA YA MAFANIKIO, mpaka sasa utakuwa umeshagundua kitu kimoja kikubwa, kwamba msingi wa kila kitu tunachofanya kwenye maisha yetu ni UAMINIFU. Watu watafanya biashara na wewe kutokana na uaminifu wako. Watu watakuajiri na kuendelea kuwa na wewe kwa sababu ya uaminifu.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In