UKURASA WA 542; Tofauti Ya Masikini Na Matajiri Kwenye Kupata Fedha.

By | June 27, 2016
Kitu kimoja unachotakiwa kujua kwenye kupata fedha ni kwamba fedha zinakuja na gharama. Yaani hupati tu fedha hivi hivi, bali kuna kitu lazima utoe au upoteze ndiyo uweze kupata fedha. Iwe ni kwenye ajira au biashara, unatoa kitu ambacho unacho na unapata malipo kwa kutoa kitu hiko. Katika utoaji huu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In