UKURASA WA 560; Waliokuambia Hapana…

By | July 13, 2016
Kama kuna neno ambalo umeshalisikia mara nyingi kwenye maisha yako, huenda ni neno HAPANA. Hili ni neno ambalo wengi wamekuambia pale ambapo umekua unajaribu kufanya mambo ya tofauti au mambo makubwa kuliko ambavyo imezoeleka na wengine. HAPANA ni neno kali na linalokatisha tamaa hasa pale linapotoka kwa mtu ambaye unamwamini

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In