UKURASA WA 561; Tengeneza Sheria Zako Mwenyewe….

By | July 14, 2016
Unapoanza kufanya kitu chochote kipya kwenye maisha, unaanza kwa kuiga. Unaangalia wale ambao ni bora kwenye kile unachotaka kuwa bora, unaona wanafanyaje kisha na wewe unaanza kufanya kama wao. Kwa kuiga utapiga hatua kubwa, kutoka mtu ambaye hajui kabisa mpaka mtu anayejua kile anachofanya. Changamoto moja ya kuiga ni kwamba

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In