UKURASA WA 563; Jinsi Ya Kuepuka Wivu Wa Wengine Kuharibu Mipango Yako…

By | July 16, 2016
Moja ya tabia ambazo wanadamu tunazo ni wivu, tunachotofautiana ni namna gani tunaweza kudhibiti na kutumia wivu wetu. Kwa upande mmoja kuna ambao wanaweza kudhibiti wivu wanaoupata na hivyo kutokufanya jambo lolote baya, pia kuna wanaoweza kuutumia kama changamoto kwao kufanya makubwa zaidi. Kwa upande mwingine kuna ambao hawawezi kudhibiti

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In