UKURASA WA 564; Kitakachokufanya Uwe Mtumwa Wa Wengine Ni Hiki…

By | July 17, 2016
Mafanikio makubwa kwenye maisha yako yanaanza na uhuru wako. Huwezi kusema una mafanikio kama huna uhuru. Uhuru ndiyo utakuwezesha kufanya kile ambacho unataka kufanya kwenye maisha yako, ambacho ndiyo kinakuletea furaha na mafanikio. Watu wengi bado wameendelea kuwa watumwa wa wengine, wameshindwa kuwa huru na hivyo kujikuta maisha yao yanaamuliwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In