UKURASA WA 566; Mafanikio Yanaanza Na Imani….

By | July 19, 2016
Kabla wengine hawajakuamini, ni lazima ujiamini wewe mwenyewe kwanza. Kabla wengine hawajaamini kwenye ile biashara unayofanya na kuwa wateja, ni lazima wewe mwenyewe uiamini biashara hiyo kwanza. Kabla wengine hawajakuamini kwamba unaweza na kukupa kazi au dili nzuri ni lazima wewe mwenyewe ujiamini kwamba unaweza. Imani inaambukizwa, unachoamini ndicho ambacho

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In