UKURASA WA 565; Uhuru Chanya Na Uhuru Hasi….

By | July 18, 2016
Ili kuwa na maisha bora na yenye mafanikio unahitaji kuwa na uhuru. Lakini uhuru siyo kitu kimoja, kuna uhuru chanya na uhuru hasi. Uhuru hasi ni pale ambapo unapata nafasi ya kuondoka kwenye hali ambayo ni kandamizi kwako. Kupata uhuru wa kuondoka chini ya wengine, kuwa huru kupanga mambo yako

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In