UKURASA WA 568; Njia Ya Uhakika Ya Kuwabadili Watu…

By | July 21, 2016
Kila mtu anapenda wengine wafanye kile ambacho anataka yeye, kwa kuamini kile anachotaka kifanyike ndiyo bora. Inawezekana kile ambacho mtu anataka kifanyike ni kweli ni kitu bora au wakati mwingine siyo bora. Hivyo kwa kutaka kuwabadili wengine, watu huwa wanatumia njia mbalimbali, na mara nyingi njia hizi huwa hazileti matunda

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In