BIASHARA LEO; Hakuna Kitakachotokea Kwenye Biashara Yako Mpaka Ufanye Vitu Hivi Viwili…

By | August 3, 2016
Hakuna kitakachotokea kwenye biashara yako mpaka pale utakapofanya vitu hivi viwili muhimu sana na kwa mfuatano sahihi. Kwanza muuzie mtu kile unachotoa, iwe ni huduma au bidhaa. Pili mtu aridhishwe na kile ulichomuuzia. Hii ndiyo misingi inayobeba biashara yako. Mengine yote unayofanya kwenye biashara kama hayaipeleki biashara kwenye misingi hii

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In