UKURASA WA 582; Tofauti Kubwa Ya Jana Na Leo…

By | August 4, 2016
Kama ulichofanya jana kinaonekana kikubwa kuliko ulichofanya leo, basi leo hujafanya kitu kikubwa. Na tunaweza kusema bila ya shaka kwamba leo hujafanya chochote, kama lengo lako ni kuwa na mafanikio kwenye maisha. Kama umekuwa unawaambia watu na kujiambia mwenyewe kwamba enzi zako ulikuwa unafanya makubwa, basi unadhihirisha kwamba sasa hivi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In