UKURASA WA 589; Ongea Na Watu…

By | August 11, 2016
Waswahili wanasema, ongea na watu, upate viatu. Wataka ya watu na huna viatu? Huu ni usemi ambao umebeba ukweli mkubwa sana kwenye maisha yetu ya kila siku kwenye kazi, biashara na mafanikio kwa ujumla. Chochote unachotaka kwenye maisha yako, utakipata kutoka kwa wengine. Iwe unafanya biashara, wateja wako ni watu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In