UKURASA WA 590; Uwezekano Upo…

By | August 12, 2016
Katika kitu chochote unachochagua kufanya kwenye maisha yako, upo uwezekano wa kushindwa. Hata kama utajiandaa kiasi gani, bado uwezekano wa kushindwa upo. Jambo hili ndiyo limekuwa linawazuia wengi kushindwa kuchukua hatua, kwa sababu ya uwezekano wa kushindwa au kufanya vibaya. Wengi hutaka kusubiri mpaka pale wanapokuwa na uhakika kwamba hakuna

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In