1. Hakuna wa kukuzuia…

By | August 21, 2016
Fanya unachotaka kufanya, hakuna wa kukuzuia. Kile unachofikiria kufanya, kikwazo ni wewe mwenyewe. Hofu unaweza kujijaza, watu watanichukuliaje? Unachosahau ni kwamba, kila mtu anawaza yake. Badala ya kupoteza muda kuwaza, panga na anza kufanya. Hata kama huna uhakika, anza na utaona njia zaidi. Muhimu siyo kusema unafanya, bali kufanya kwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In