UKURASA WA 600; Vikwazo Vitatu Vya Mafanikio Makubwa…

By | August 22, 2016
Vinavyotuzuia kufanikiwa ni vingi kuliko vinavyotuhamasisha kufanikiwa, ndiyo ukweli wa maisha ulivyo na ndiyo sababu wachache ndiyo waliofanikiwa, huku wengi wakikazana lakini wasiyaone mafanikio. Ili kuyafikia mafanikio ni muhimu kujua kila njia ya kukufikisha kwenye mafanikio, na pia kujua zile njia ambazo zitakuzuia kufanikiwa. Ni kazi ngumu kujua haya yote,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In