UKURASA WA 612; Kupendwa na kila mtu….

By | September 3, 2016
Unataka kila mtu akupende? Unataka kila mtu akukubali kwa kile unachofanya? Unataka kila mtu akubaliane na wewe na kukusifia kwenye kile unachofanya? Basi nina jibu rahisi kwako, ondoka kwenye hii dunia. Kwa sababu unachotaka hakipo, na pia hakiwezi kutokea kwenye dunia hii. Huwezi kupendwa na kila mtu, huwezi kukubalika na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In