UKURASA WA 616; Watu Wanakudharau Kwa Sababu Hii Moja…

By | September 7, 2016
Je umewahi kutokuridhishwa na jinsi watu wanavyokuchukulia? Labda unataka watu wakuone wewe ni mtu makini lakini hawakuoni hivyo? Au unataka watu waheshimu muda wako lakini hawauheshimu? Au unataka watu wakuheshimu na kukusikiliza lakini wanakudharau na kutokukusikiliza? Unapokuwa kwenye hali kama hii ni rahisi kuona kwamba watu wanakuchukulia tofauti na unavyotaka

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In