UKURASA WA 617; Maneno Ya Kujifariji Yanayowafanya Watu Kuendelea Kuwa Masikini, Yaepuke.

By | September 8, 2016
Hakuna kitu chenye nguvu kwenye maisha yetu kama maneno, maneno yanaumba. Hata mtu ajaribu kiasi gani kubadilika, kama hatabadili maneno yake, basi ataendelea kubaki pale alipo. Kwa sababu maneno yake yanampa nguvu ya kuendelea kuwa pale ambapo yupo. Kumekuwa na maneno ya kujifariji ambayo masikini wamekuwa wakijiambia, na maneno haya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In