UKURASA WA 620; Kanuni Rahisi Ya Mafanikio Ambayo Wengi Hawaitumii.

By | September 11, 2016
Niliwahi kuandika kwenye makala za nyuma kwamba, haijalishi unajua nini, bali anakujua nani. Unaweza kuwa unajua sana, unaweza kuwa bora sana kwenye kile unachofanya, lakini kama watu sahihi hawajui kama unajua, hutaweza kufanya makubwa. Lakini wengi wanaposikia hili wanasikitika, kwamba sasa wao wametokea familia masikini, hawana ndugu wenye uwezo wanaowajua

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In