UKURASA WA 665; Mipango Siyo Matumizi…

By | October 26, 2016
Kupanga ni hatua moja, kufanyia kazi mipango yako ni hatua nyingine, ambayo ni ngumu na ina changamoto zake. Kila mmoja wetu amekuwa anapanga mambo mbalimbali kwenye maisha yake, tumepanga mengi kulingana na malengo yetu kwenye maisha. Lakini mpaka sasa tumeshajifunza kitu kikubwa, siyo kila tunachopanga kinatokea kama tulivyopanga. Mara nyingi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In