UKURASA WA 666; Hofu Inayotokana Na Kukosa Maarifa Sahihi…

By | October 27, 2016
Moja ya vitu vinavyopelekea watu kuwa na hofu na kushindwa kuchukua hatua, ni kukosa maarifa sahihi. Angalia watu wengi ambao wamekuwa wanapanga kuanza biashara lakini wanakuwa na hofu. Mara nyingi inatokana na wao kukosa maarifa sahihi ya kuanzisha biashara zao. Watafikiria namna biashara inavyohitaji kuendeshwa, na kuona hawawezi kila kitu.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In