💥 #TAFAKARI YA LEO; HAZINA MUHIMU KWENYE MAISHA YAKO.

By | February 24, 2017
Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni zawadi ya kipekee sana kwetu kwenda kufanya makubwa siku ya leo. Ni jambo la kushukuru kuiona siku hii kwa sababu wapo wengi walioipangilia kabisa siku ya leo, lakini hawajaweza kuiona, au hawataweza kuifanyia kazi kama walivyopanga, kutokana na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: #TAFAKARI YA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz