MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
💥 #TAFAKARI YA LEO; ISHI SASA…
Hongera rafiki kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora kabisa. Tutumie nafasi ya leo vizuri ili tuweze kufanya makubwa. Msingi wetu ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambao unatuwezesha kufanya nakubwa kwenye maisha yetu. Leo tutafakari