💥 #TAFAKARI YA LEO; SABABU YA WATU KUKUKATISHA TAMAA….

By | March 11, 2017
Hongera rafiki yangu kwa siku hii nzuri sana ya leo. Ni nafasi nyingine bora na ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa. NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ni msingi muhimu sana kwetu kwa mafanikio. Asubuhi ya leo tutafakari sababu ya watu kukukatisha tamaa. Iko hivi rafiki,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: #TAFAKARI YA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz