šŸ’„ #TAFAKARI YA LEO; KABLA HUJASEMA HAIWEZEKANI….

By | April 17, 2017
Habari za asubuhi ya leo rafiki? Hongera kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo, ambapo tumepata nafasi nyingine nzuri ya kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora zaidi. Tutumie nafasi hii ya leo vizuri kwa kuwa na NIDHAMU, UADILIFU na pia KUJITUMA ili tuweze kupata kile tunachotaka.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In