💥 #TAFAKARI YA LEO; MAISHA HAYATAKUWA RAHISI.

By | April 30, 2017
Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Nafasi hii tuliyopata leo ni ya kipekee sana, twende tukaitumie vizuri ili tuweze kufanya makubwa kuelekea kwenye ndoto zetu. Msingi wetu ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA ambapo tutaweza kufanya makubwa sana leo na kila siku. Asubuhi ya leo tutafakari

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In