BIASHARA LEO; Vitu Ambavyo Havilipi Moja Kwa Moja Kwenye Biashara Yako.

By | February 26, 2018
Kuna tabia moja ya waajiriwa ambayo nimekuwa naona inawarudisha nyuma sana kwenye kupiga hatua kwenye kazi hiyo. Tabia hiyo ni kufanya yale ambayo wanalipwa tu. Kama mtu halipwi moja kwa moja kwa kufanya kitu, basi hakifanyi. Na utawasikia kabisa wakijiambia kwani nalipwa? Tabia hii nimekuwa naiona pia kwa wafanyabiashara ambao

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In