UKURASA WA 1245; Hamasa Ya Kazi Inapoishia…

By | May 29, 2018
Siku ya kwanza ya kitu chochote, ni siku ambayo watu huwa wanakuwa na hamasa kubwa sana. Si unaikumbuka siku ya kwanza kwenda shule, huenda hukulala, ulisubiri kwa hamu kuamka na kwenda shule. Kadhalika siku ya kwanza kusafiri kwenda mahali ambapo hujawahi kwenda. Kumbuka pia siku yako ya kwanza ya biashara,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz