1741; Uhuru Unaanzia Kwenye Mahitaji…

By | October 7, 2019
Watu wengi wanakosa uhuru kwenye maisha yao kwa sababu mtazamo walionao kwenye uhuru ni mtazamo wa tofauti. Wengi wanachukulia uhuru ni kuwa na kila unachotaka kwa wakati unaokitaka. Lakini hiyo siyo sahihi, uhuru hautokani na kuwa na kila unachotaka. Uhuru unaanzia kwenye mahitaji, na kadiri unavyokuwa na mahitaji machache kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In