1793; Umaarufu Bila Kazi…

By | November 28, 2019
Mtu mmoja amewahi kusema kwamba sehemu pekee ambapo mafanikio yanapatikana bila ya kuweka kazi ni kwenye kamusi. Kuna neno hulijui, unafungua kamusi na jibu unalipata mara moja, hakuna haja ya kusumbuka. Vitu vingine vyote vinahitaji kazi kabla hujapata matokeo unayotaka. Kwenye zama tunazoishi sasa, kumekuja kitu kingine cha kushangaza. Kitu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In