#TAFAKARI YA LEO; MAMBO YATAKWENDA VIZURI…

By | November 29, 2019
“Don’t lament this and don’t get agitated.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 7.43 Sisi ni nani mpaka tustahili kuiona siku hii ya leo? Tukiwaangalia wale ambao walikuwa na mipango mikubwa kwa siku hii ila hawajaifikia, ndiyo tunagundua kwamba tuna bahati ya kipekee kuiona siku hii. Siyo kwa nguvu zetu wala ujanja wetu,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In