1796; Dunia Inakutamanisha…

By | December 1, 2019
Dunia haijali kuhusu maono na malengo uliyonayo kwenye maisha yake. Dunia inajali mambo yake na wale wanaokuzunguka nao wanajali mambo yao. Wewe peke yako ndiye unayeweza kujali kuhusu maono yako na malengo yako. Na kwa bahati mbaya sana, wewe mwenyewe kuna wakati unaacha kujali kuhusu maono yako na malengo yako.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In