1805; Sababu Sahihi Ya Kufanya Unachofanya…

By | December 10, 2019
Watu wengi hawafurahii kazi au biashara wanazofanya kwa sababu hawafanyi kwa ajili yao. Wanafanya kwa ajili ya watu wengine au kwa ajili ya kupata kitu fulani. Sasa kwa kufanya hivyo, unaweza kuwaridhisha wengine na unaweza kupata unachotaka, lakini utulivu wa ndani hutaweza kuupata. Sababu sahihi ya kufanya chochote unachofanya ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In