1855; Ni Kinyume Na Wanachoonesha…

By | January 29, 2020
Mtu anayesema siogopi kufa anaweza kuwa ndiyo mwoga wa kifo kuliko wengine wote, kwa sababu kama kweli angekuwa haogopi kifo, angekipuuza, asingekitaja kabisa. Kadhalika mtu anayewaambia wengine kwamba anataka kujiua, kuna kitu anataka kutoka kwa watu hao anaowaambia. Angekuwa kweli dhamira yake ni kujiua, angefanya hivyo kimya kimya, kwa sababu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In