1951; Kupanga Kushindwa…

By | May 4, 2020
Najua hakuna mtu mwenye akili timamu ambaye anaweza kukaa chini na kupanga kushindwa. Yaani kwa makusudi kabisa unapanga uingie kwenye biashara na upate hasara. Hilo huwa halitokei. Lakini kila siku watu wanashindwa, kila siku watu wanaingia kwenye biashara na kupata hasara. Je hili huwa linatokeaje? Ina maana kushindwa ni ajali?

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In